Al-Muuminun 23:75 ۞ ولو رحمناهم وكشفنا ما بهم من ضر للجوا في طغيانهم يعمهون ٧٥
۞ وَلَوۡ
رَحِمۡنَٰهُمۡ
وَكَشَفۡنَا
مَا
بِهِم
مِّن
ضُرّٖ
لَّلَجُّواْ
فِي
طُغۡيَٰنِهِمۡ
يَعۡمَهُونَ
٧٥
Na lau tungeli warehemu na tukawaondolea shida waliyo nayo bila ya shaka wangeli endelea katika upotofu wao vile vile, wakitangatanga. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau tungaliwahurumia na tukawaaondolea ukame na njaa, wangaliendelea kwenye ukafiri na ushindani, wakiwa katika hali ya kuduwaa na kukosa muelekeo.