Al-Muuminun 23:81 بل قالوا مثل ما قال الاولون ٨١
بَلۡ
قَالُواْ
مِثۡلَ
مَا
قَالَ
ٱلۡأَوَّلُونَ
٨١
Bali wanasema kama walivyo sema watu wa kwanza. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lakini makafiri hawakuamini kuwa kuna kufufuliwa, lakini waliyakariri maneno ya wakale wao wakanushaji.