Al-Muzzammil 73:12 ان لدينا انكالا وجحيما ١٢
إِنَّ
لَدَيۡنَآ
أَنكَالٗا
وَجَحِيمٗا
١٢
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika wao watapata kwetu sisi huko Akhera pingu nzito na Moto wenye kuwaka ambao watachomwa nao,