Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Muzzammil 73:15

73:15
انا ارسلنا اليكم رسولا شاهدا عليكم كما ارسلنا الى فرعون رسولا ١٥
إِنَّآ أَرْسَلْنَآ إِلَيْكُمْ رَسُولًۭا شَـٰهِدًا عَلَيْكُمْ كَمَآ أَرْسَلْنَآ إِلَىٰ فِرْعَوْنَ رَسُولًۭا ١٥
إِنَّآ
أَرۡسَلۡنَآ
إِلَيۡكُمۡ
رَسُولٗا
شَٰهِدًا
عَلَيۡكُمۡ
كَمَآ
أَرۡسَلۡنَآ
إِلَىٰ
فِرۡعَوۡنَ
رَسُولٗا
١٥
Hakika Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma Mtume kwa Firauni. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika sisi tumemtumiliza kwenu nyinyi, watu wa Makkah, Muhammad kuwa ni Mtume, mwenye kutoa ushahidi wa ukafiri na uasi unaotokana na nyinyi, kama vile tulivyomtumiliza Mūsā kuwa ni Mtume kwenda kwa Fir’awn aliyepita kiasi katika uasi.