Al-Muzzammil 73:17 فكيف تتقون ان كفرتم يوما يجعل الولدان شيبا ١٧
فَكَيۡفَ
تَتَّقُونَ
إِن
كَفَرۡتُمۡ
يَوۡمٗا
يَجۡعَلُ
ٱلۡوِلۡدَٰنَ
شِيبًا
١٧
Basi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto wadogo waote mvi? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Vipi mtajikinga nafsi zenu, mkikufuru, na adhabu ya Siku ya Kiyama ambayo huwafanya watoto wadogo watokwe na mvi kwa ukubwa wa janga lake na unguliko lake?
Vipi mtajikinga nafsi zenu, mkikufuru, na adhabu ya Siku ya Kiyama ambayo huwafanya watoto wadogo watokwe na mvi kwa ukubwa wa janga lake na unguliko …