Al-Qalam 68:30 فاقبل بعضهم على بعض يتلاومون ٣٠
فَأَقۡبَلَ
بَعۡضُهُمۡ
عَلَىٰ
بَعۡضٖ
يَتَلَٰوَمُونَ
٣٠
Basi wakakabiliana kulaumiana wao kwa wao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakazungukiana wao kwa wao wakilaumiana kwa kuacha kuyafunga maneno yao na matakwa ya Mwenyezi Mungu na kwa lengo lao baya,