Al-Qalam 68:34 ان للمتقين عند ربهم جنات النعيم ٣٤
إِنَّ
لِلۡمُتَّقِينَ
عِندَ
رَبِّهِمۡ
جَنَّٰتِ
ٱلنَّعِيمِ
٣٤
Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwa Mola wao Mlezi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale waliojikinga na mateso ya Mwenyezi Mungu kwa kufanya yale Aliyowaamrisha na kuacha yale Aliyoyakataza, watapata kwa Mola wao huko Akhera, mabustani ya Peponi ambayo ndani yake kuna starehe za daima.
Hakika wale waliojikinga na mateso ya Mwenyezi Mungu kwa kufanya yale Aliyowaamrisha na kuacha yale Aliyoyakataza, watapata kwa Mola wao huko Akhera, …