Al-Qalam 68:37 ام لكم كتاب فيه تدرسون ٣٧
أَمۡ
لَكُمۡ
كِتَٰبٞ
فِيهِ
تَدۡرُسُونَ
٣٧
Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Au nyinyi mna kitabu kilichoteremshwa kutoka mbinguni ambacho mnakuta ndani yake kuwa mtiifu ni kama muasi, mkawa mnayasoma hayo mnayoyasema?