Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
068

Al-Qalam 68:5 فستبصر ويبصرون ٥

68:5
فَسَتُبۡصِرُ
وَيُبۡصِرُونَ
٥
Karibu utaona, na wao wataona! 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Kwa kipindi cha karibu kijacho, utaona ewe Mtume, na wataona
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 68, Ukurasa 564, Juzuu 29

1. Nuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo! 2. Kwa neema ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu. 3. Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika. 4. Na hakika wewe una tabia tukufu. 5. Karibu utaona, na wao wataona! 6. Ni nani kati yenu aliye pandwa na wazimu. 7. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye ajuaye zaidi nani aliye ipotea Njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walio ongoka. 8. Basi usiwat'ii wanao kadhibisha. 9. Wanatamani lau unge lainisha ili nao wakulainishie. 10. Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa, 11. Mtapitapi apitae akifitini. 12. Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi, 13. Mkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu. 14. Ati kwa kuwa ana mali na watoto! 15. Anapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi za uwongo za watu wa zamani! 16. Tutamtia kovu juu ya pua yake.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia