Al-Qalam 68:50 فاجتباه ربه فجعله من الصالحين ٥٠
فَٱجۡتَبَٰهُ
رَبُّهُۥ
فَجَعَلَهُۥ
مِنَ
ٱلصَّٰلِحِينَ
٥٠
Lakini Mola wake Mlezi alimteua na akamfanya miongoni mwa watu wema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mola Wake Akamchagua kwa ujumbe Wake, Akamjaalia ni miongoni mwa watu wema waliokuwa wazuri wa nia, matendo na maneno.