Al-Qalam 68:9 ودوا لو تدهن فيدهنون ٩
وَدُّواْ
لَوۡ
تُدۡهِنُ
فَيُدۡهِنُونَ
٩
Wanatamani lau unge lainisha ili nao wakulainishie. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wanatamani na wanapenda lau wewe unakuwa laini kwao na kuwakubalia baadhi ya misimamo waliyonayo, na wao wakawa laini kwako.