Al-Qamar 54:15 ولقد تركناها اية فهل من مدكر ١٥
وَلَقَد
تَّرَكۡنَٰهَآ
ءَايَةٗ
فَهَلۡ
مِن
مُّدَّكِرٖ
١٥
Na bila ya shaka tuliiacha iwe ni Ishara. Lakini je, yupo anaye kumbuka? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika tulikibakisha kisa cha Nūḥ pamoja na watu wake kiwe ni mazingatio na dalili ya uweza wetu kwa walio baada ya Nūḥ, ili wazingatie na wawaidhike kwa lililowapata ummah huu uliokanusha Mtume wao,
Na kwa hakika tulikibakisha kisa cha Nūḥ pamoja na watu wake kiwe ni mazingatio na dalili ya uweza wetu kwa walio baada ya Nūḥ, ili wazingatie na wawa…