Al-Qamar 54:18 كذبت عاد فكيف كان عذابي ونذر ١٨
كَذَّبَتۡ
عَادٞ
فَكَيۡفَ
كَانَ
عَذَابِي
وَنُذُرِ
١٨
Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa kabila la 'Ād walimkanusha Hūd tukawatesa, basi ilikuwa vipi vile nilivyowaadhibu wao kwa ukafiri wao na vile nilivyowaonya wao kwa kumkanusha Mtume wao na kutomuamini? Ilikuwa kubwa yenye uchungu.
Watu wa kabila la 'Ād walimkanusha Hūd tukawatesa, basi ilikuwa vipi vile nilivyowaadhibu wao kwa ukafiri wao na vile nilivyowaonya wao kwa kumkanusha…