Al-Qamar 54:19 انا ارسلنا عليهم ريحا صرصرا في يوم نحس مستمر ١٩
إِنَّآ
أَرۡسَلۡنَا
عَلَيۡهِمۡ
رِيحٗا
صَرۡصَرٗا
فِي
يَوۡمِ
نَحۡسٖ
مُّسۡتَمِرّٖ
١٩
Hakika Sisi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku korofi mfululizo, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika sisi tuliwapelekea upepo wenye baridi kali katika siku korofi yenye kuendelea kwao kwa adhabu na maangamivu,