Al-Qamar 54:21 فكيف كان عذابي ونذر ٢١
فَكَيۡفَ
كَانَ
عَذَابِي
وَنُذُرِ
٢١
Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi ilikuwa vipi adhabu yangu na onyo langu kwa aliyenikufuru na akawakanusha Mitume wangu na Asiwaamini? Hakika ilikuwa kubwa yenye uchungu!