Al-Qamar 54:23 كذبت ثمود بالنذر ٢٣
كَذَّبَتۡ
ثَمُودُ
بِٱلنُّذُرِ
٢٣
Thamudi waliwakanusha Waonyaji. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walizikanusha watu wa kabila la Thamūd, nao ni watu wa Ṣāliḥ, alama ambazo walionywa nazo,