Al-Qamar 54:30 فكيف كان عذابي ونذر ٣٠
فَكَيۡفَ
كَانَ
عَذَابِي
وَنُذُرِ
٣٠
Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
basi ilikuwa vipi nilivyowaadhibu kwa ukafiri wao na nilivyowaonya waliowaasi Mitume wangu? Hakika hiyo ilikuwa adhabu kubwa yenye uchungu.