Al-Qamar 54:45 سيهزم الجمع ويولون الدبر ٤٥
سَيُهۡزَمُ
ٱلۡجَمۡعُ
وَيُوَلُّونَ
ٱلدُّبُرَ
٤٥
Wingi wao huu utashindwa, na wao watasukumwa nyuma. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Utashindwa mkusanyiko wa makafiri wa Makkah mbele ya Waislamu na watakimbia. Na hili lilitokea siku ya vita vya Badr.