Al-Qamar 54:47 ان المجرمين في ضلال وسعر ٤٧
إِنَّ
ٱلۡمُجۡرِمِينَ
فِي
ضَلَٰلٖ
وَسُعُرٖ
٤٧
Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wahalifu wa ukafiri wako katika hali ya kuduwaa kutoijua haki na wako kwenye usumbufu na adhabu.