Al-Qamar 54:5 حكمة بالغة فما تغن النذر ٥
حِكۡمَةُۢ
بَٰلِغَةٞۖ
فَمَا
تُغۡنِ
ٱلنُّذُرُ
٥
Hikima kaamili; lakini maonyo hayafai kitu! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hii Qur’ani iliowajia ni hekima kubwa iliyofikia upeo. Basi yatawafalia nini maonyo wale watu waliyoipa mgongo na kuikanusha?