Al-Qamar 54:50 وما امرنا الا واحدة كلمح بالبصر ٥٠
وَمَآ
أَمۡرُنَآ
إِلَّا
وَٰحِدَةٞ
كَلَمۡحِۭ
بِٱلۡبَصَرِ
٥٠
Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na haikuwa amri yetu ya kuamuru jambo tukitaka liwe isipokuwa ni kuliambia neno moja nalo ni «kuwa» nalo likawa palepale kama vile kupeleka jicho kuangalia kitu, haichelewi hata kiasi cha jicho kupepesa.
Na haikuwa amri yetu ya kuamuru jambo tukitaka liwe isipokuwa ni kuliambia neno moja nalo ni «kuwa» nalo likawa palepale kama vile kupeleka jicho kuan…