Al-Qamar 54:52 وكل شيء فعلوه في الزبر ٥٢
وَكُلُّ
شَيۡءٖ
فَعَلُوهُ
فِي
ٱلزُّبُرِ
٥٢
Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kila kitu walichokifanya wale wanaofanana na nyinyi waliopita, cha kheri au cha shari, kimeandikwa kwenye Vitabu ambavyo Malaika watunzi wenye kudhibiti waliviandika.
Na kila kitu walichokifanya wale wanaofanana na nyinyi waliopita, cha kheri au cha shari, kimeandikwa kwenye Vitabu ambavyo Malaika watunzi wenye kudh…