Al-Qariah 101:4 يوم يكون الناس كالفراش المبثوث ٤
يَوۡمَ
يَكُونُ
ٱلنَّاسُ
كَٱلۡفَرَاشِ
ٱلۡمَبۡثُوثِ
٤
Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siku hiyo watu watakuwa , kwa wingi wao, kugawanyika kwao na kuzunguka kwao, ni kama pandzi walioenea. Nao ni wale wanaojitupa motoni.