Al-Qariah 101:5 وتكون الجبال كالعهن المنفوش ٥
وَتَكُونُ
ٱلۡجِبَالُ
كَٱلۡعِهۡنِ
ٱلۡمَنفُوشِ
٥
Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na majabali yatakuwa ni kama pamba yenye rangi tofauti inayochambuliwa kwa mkono ikawa ni mapepe na ikamalizika.