Al-Qasas 28:17 قال رب بما انعمت علي فلن اكون ظهيرا للمجرمين ١٧
قَالَ
رَبِّ
بِمَآ
أَنۡعَمۡتَ
عَلَيَّ
فَلَنۡ
أَكُونَ
ظَهِيرٗا
لِّلۡمُجۡرِمِينَ
١٧
Akasema: Mola wangu Mlezi! Kwa ulivyo nineemesha, basi mimi sitakuwa kabisa msaidizi wa wakosefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mūsā akasema, «Mola wangu! Kwa vile ulivyonineemesha kwa toba, msamaha na neema nyingi, sitakuwa mwenye kumsaidia yoyote kufanya uasi wake na uhalifu wake.
Mūsā akasema, «Mola wangu! Kwa vile ulivyonineemesha kwa toba, msamaha na neema nyingi, sitakuwa mwenye kumsaidia yoyote kufanya uasi wake na uhalifu …