Al-Qasas 28:38 وقال فرعون يا ايها الملا ما علمت لكم من الاه غيري فاوقد لي يا هامان على الطين فاجعل لي صرحا لعلي اطلع الى الاه موسى واني لاظنه من الكاذبين ٣٨
وَقَالَ
فِرۡعَوۡنُ
يَٰٓأَيُّهَا
ٱلۡمَلَأُ
مَا
عَلِمۡتُ
لَكُم
مِّنۡ
إِلَٰهٍ
غَيۡرِي
فَأَوۡقِدۡ
لِي
يَٰهَٰمَٰنُ
عَلَى
ٱلطِّينِ
فَٱجۡعَل
لِّي
صَرۡحٗا
لَّعَلِّيٓ
أَطَّلِعُ
إِلَىٰٓ
إِلَٰهِ
مُوسَىٰ
وَإِنِّي
لَأَظُنُّهُۥ
مِنَ
ٱلۡكَٰذِبِينَ
٣٨
Na Firauni akasema: Enyi waheshimiwa! Sijui kama mnaye mungu asiye kuwa mimi. Ewe Haman! Niwashie moto unichomee udongo, unijengee mnara nipate kumchungulia mungu wa Musa. Na hakika mimi namwona yeye ni katika waongo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Fir’awn akasema kuwaambia watukufu wa watu wake, «Enyi viongozi! Mimi sijui kwamba nyinyi muna mola isipokuwa mimi anayestahiki kuabudiwa. Basi, ewe Hāmān! Niwashie moto juu ya udongo mpaka ushikane, na unijengee jengo lenye urefu wa kuelekea juu, kwani huenda nikamchungulia muabudiwa wa Mūsā amb…
Na Fir’awn akasema kuwaambia watukufu wa watu wake, «Enyi viongozi! Mimi sijui kwamba nyinyi muna mola isipokuwa mimi anayestahiki kuabudiwa. Basi, ew…