Al-Qasas 28:44 وما كنت بجانب الغربي اذ قضينا الى موسى الامر وما كنت من الشاهدين ٤٤
وَمَا
كُنتَ
بِجَانِبِ
ٱلۡغَرۡبِيِّ
إِذۡ
قَضَيۡنَآ
إِلَىٰ
مُوسَى
ٱلۡأَمۡرَ
وَمَا
كُنتَ
مِنَ
ٱلشَّٰهِدِينَ
٤٤
Wala wewe hukuwa upande wa magharibi tulipo mpa Musa amri, wala hukuwa katika walio hudhuria. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hukuwako, ewe Mtume, upande wa jabali la jua la kuchwa wa Mūsā, tulipombebesha maamrisho yetu na makatazo yetu, na hukuwa ni kati ya wale waliolishuhudia hilo mpaka kusemwe kwamba habari hii imekufikia kwa njia hii.
Na hukuwako, ewe Mtume, upande wa jabali la jua la kuchwa wa Mūsā, tulipombebesha maamrisho yetu na makatazo yetu, na hukuwa ni kati ya wale waliolish…