Al-Qasas 28:5 ونريد ان نمن على الذين استضعفوا في الارض ونجعلهم ايمة ونجعلهم الوارثين ٥
وَنُرِيدُ
أَن
نَّمُنَّ
عَلَى
ٱلَّذِينَ
ٱسۡتُضۡعِفُواْ
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
وَنَجۡعَلَهُمۡ
أَئِمَّةٗ
وَنَجۡعَلَهُمُ
ٱلۡوَٰرِثِينَ
٥
Na tukataka kuwafadhili walio dhoofishwa katika nchi hiyo na kuwafanya wawe waongozi na kuwafanya ni warithi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tunataka kuwafadhili wale ambao Fir'awn aliwafanya wanyonge nchini, tuwafanye ni viongozi katika wema na ni wenye kuulingania, na tuwafanye wao wairithi nchi baada ya kuangamia Fir'awn na watu wake.
Na tunataka kuwafadhili wale ambao Fir'awn aliwafanya wanyonge nchini, tuwafanye ni viongozi katika wema na ni wenye kuulingania, na tuwafanye wao wai…