Al-Qasas 28:52 الذين اتيناهم الكتاب من قبله هم به يومنون ٥٢
ٱلَّذِينَ
ءَاتَيۡنَٰهُمُ
ٱلۡكِتَٰبَ
مِن
قَبۡلِهِۦ
هُم
بِهِۦ
يُؤۡمِنُونَ
٥٢
Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wale ambao tuliwapa Kitabu kabla ya Qur’ani, nao ni Mayahudi na Wanaswara ambao hawakugeuza, wanaiamini Qur’ani na wanamuamini Muhammad, rehema na amani zimshukiye.
Wale ambao tuliwapa Kitabu kabla ya Qur’ani, nao ni Mayahudi na Wanaswara ambao hawakugeuza, wanaiamini Qur’ani na wanamuamini Muhammad, rehema na ama…