Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Qasas 28:66

28:66
فعميت عليهم الانباء يوميذ فهم لا يتساءلون ٦٦
فَعَمِيَتْ عَلَيْهِمُ ٱلْأَنۢبَآءُ يَوْمَئِذٍۢ فَهُمْ لَا يَتَسَآءَلُونَ ٦٦
فَعَمِيَتۡ
عَلَيۡهِمُ
ٱلۡأَنۢبَآءُ
يَوۡمَئِذٖ
فَهُمۡ
لَا
يَتَسَآءَلُونَ
٦٦
Basi zitawapotea khabari siku hiyo, nao hawataulizana. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hapo hoja zao zote zitafichika, wasijue ni hoja ipi waitumie. Wao hawatoulizana wao kwa wao kuhusu hoja za kuzitumia, maswali yenye nafuu.