Al-Qiyama 75:20 كلا بل تحبون العاجلة ٢٠
كـَلَّا
بَلۡ
تُحِبُّونَ
ٱلۡعَاجِلَةَ
٢٠
Hasha! Bali nyinyi mnapenda maisha ya duniani, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mambo sivyo kama mlivyodai, enyi mkusanyiko wa washirikina, kuwa hakuna kufufuliwa wala kulipwa.