Al-Qiyama 75:24 ووجوه يوميذ باسرة ٢٤
وَوُجُوهٞ
يَوۡمَئِذِۭ
بَاسِرَةٞ
٢٤
Na zipo nyuso siku hiyo zitakao kunjana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Nyuso za watu wabaya Silku ya Kiyama zitakuwa ni zenye kukunjana na kusinyaa,