Al-Qiyama 75:27 وقيل من راق ٢٧
وَقِيلَ
مَنۡۜ
رَاقٖ
٢٧
Na pakasemwa: Nani wa kumganga? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na wakasema baadhi ya waliohudhuria kuwaambia wengine, «Je kuna mtu wa kumzungua na kumpoza kutokana na hali hii aliyonayo?»