Al-Qiyama 75:29 والتفت الساق بالساق ٢٩
وَٱلۡتَفَّتِ
ٱلسَّاقُ
بِٱلسَّاقِ
٢٩
Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na ikashikana shida ya mwisho wa duniani na shida ya mwanzo wa Akhera. Kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka.