Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
075

Al-Qiyama 75:3 ايحسب الانسان الن نجمع عظامه ٣

75:3
أَيَحۡسَبُ
ٱلۡإِنسَٰنُ
أَلَّن
نَّجۡمَعَ
عِظَامَهُۥ
٣
Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Je anadhanihuyu binadamu kafiri kuwa sisi hatutaweza kuikusanya mifupa yake baada ya kuwa mbalimbali.?
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 75, Ukurasa 577, Juzuu 29

1. Ninaapa kwa Siku ya Kiyama! 2. Na ninaapa kwa nafsi inayo jilaumu! 3. Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? 4. Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake! 5. Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake. 6. Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? 7. Basi jicho litapo dawaa! 8. Na mwezi utapo patwa! 9. Na likakusanywa jua na mwezi! 10. Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio? 11. La! Hapana pa kukimbilia! 12. Siku hiyo pa kutua ni kwa Mola wako Mlezi tu. 13. Siku hiyo ataambiwa aliyo yatanguliza na aliyo yaakhirisha. 14. Bali mtu ni hoja juu ya nafsi yake. 15. Na ingawa atatoa chungu ya udhuru.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia