Al-Qiyama 75:31 فلا صدق ولا صلى ٣١
فَلَا
صَدَّقَ
وَلَا
صَلَّىٰ
٣١
Kwa sababu hakusadiki, wala hakuswali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakuwa kafiri ni mwenye kumuamini Mtume na Qur’ani, wala hakuwa ni mwenye kumtekelezea Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Swala za faradhi.