Al-Qiyama 75:37 الم يك نطفة من مني يمنى ٣٧
أَلَمۡ
يَكُ
نُطۡفَةٗ
مِّن
مَّنِيّٖ
يُمۡنَىٰ
٣٧
Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hakuwa binadamu huyu ni tone la manii dhaifu linalotokana na maji matwevu yanayomwagwa na kumiminwa kwenye kizazi,