Al-Waqiah 56:16 متكيين عليها متقابلين ١٦
مُّتَّكِـِٔينَ
عَلَيۡهَا
مُتَقَٰبِلِينَ
١٦
Wakiviegemea wakielekeana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na wakiwa katika hali ya kuvitegemea na huku wanaelekeana na kukutana.