Al-Waqiah 56:17 يطوف عليهم ولدان مخلدون ١٧
يَطُوفُ
عَلَيۡهِمۡ
وِلۡدَٰنٞ
مُّخَلَّدُونَ
١٧
Wakitumikiwa na wavulana wa ujana wa milele, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wanawazunguka wao kuwatumikia watumishi vijana wasiozeeka wala kufa,