Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Waqiah 56:42

56:42
في سموم وحميم ٤٢
فِى سَمُومٍۢ وَحَمِيمٍۢ ٤٢
فِي
سَمُومٖ
وَحَمِيمٖ
٤٢
Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Watakuwa kwenye upepo ulio moto utokanao na joto la Moto wa Jahanamu utakaozuia pumzi zao, na maji moto yanayochemka,