Al-Waqiah 56:45 انهم كانوا قبل ذالك مترفين ٤٥
إِنَّهُمۡ
كَانُواْ
قَبۡلَ
ذَٰلِكَ
مُتۡرَفِينَ
٤٥
Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani wao walikuwa duniani wakijistarehesha kwa vitu vya haramu wakijiepusha na yale ambayo Mitume walikuja nayo.