Al-Waqiah 56:46 وكانوا يصرون على الحنث العظيم ٤٦
وَكَانُواْ
يُصِرُّونَ
عَلَى
ٱلۡحِنثِ
ٱلۡعَظِيمِ
٤٦
Na walikuwa wakishikilia kufanya madhambi makubwa, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na walikuwa wamesimama wima katika kumkanusha Mwenyezi Mungu na kumshirikisha na kumuasi, na hawakuwa na nia ya kutubia kwa hayo.