Al-Waqiah 56:50 لمجموعون الى ميقات يوم معلوم ٥٠
لَمَجۡمُوعُونَ
إِلَىٰ
مِيقَٰتِ
يَوۡمٖ
مَّعۡلُومٖ
٥٠
Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
watakusanywa katika Siku iliyowekewa wakati maalumu, nayo ni Siku ya Kiyama.