Al-Waqiah 56:55 فشاربون شرب الهيم ٥٥
فَشَٰرِبُونَ
شُرۡبَ
ٱلۡهِيمِ
٥٥
Tena mtakunywa kama wanavyo kunywa ngamia wenye kiu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mtayanywa maji hayo kwa wingi kama vile ngamia wenye kiu wasioshiba maji kwa ugonjwa uliowapata.»