Al-Waqiah 56:65 لو نشاء لجعلناه حطاما فظلتم تفكهون ٦٥
لَوۡ
نَشَآءُ
لَجَعَلۡنَٰهُ
حُطَٰمٗا
فَظَلۡتُمۡ
تَفَكَّهُونَ
٦٥
Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Lau tungalitaka tungaliifanya mimea inayotokana na mbegu hizo kuwa mapepe, haimkiniki kunufaika nayo kwa kula,