Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
056

Al-Waqiah 56:75 ۞ فلا اقسم بمواقع النجوم ٧٥

56:75
۞ فَلَآ
أُقۡسِمُ
بِمَوَٰقِعِ
ٱلنُّجُومِ
٧٥
Basi naapa kwa maanguko ya nyota, 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Mwenyezi Mungu Anaapa kwa mapomoko ya nyota nyakati za kuzama kwake mbinguni.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 56, Ukurasa 536, Juzuu 27

75. Basi naapa kwa maanguko ya nyota, 76. Na hakika bila ya shaka hichi ni kiapo kikubwa, laiti mngeli jua! 77. Hakika hii bila ya shaka ni Qur'ani Tukufu, 78. Katika Kitabu kilicho hifadhiwa. 79. Hapana akigusaye ila walio takaswa. 80. Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 81. Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza? 82. Na badala ya kushukuru kwa riziki yenu mnafanya kuwa mnakadhibisha? 83. Yawaje basi itakapo fika roho kwenye koo, 84. Na nyinyi wakati huo mnatazama! 85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. 86. Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu, 87. Kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli? 88. Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa, 89. Basi ni raha, na manukato, na Bustani zenye neema. 90. Na akiwa katika watu wa upande wa kulia, 91. Basi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia. 92. Na ama akiwa katika walio kadhibisha wapotovu, 93. Basi karamu yake ni maji yanayo chemka, 94. Na kutiwa Motoni. 95. Hakika hii ndiyo haki yenye yakini. 96. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia