Al-Waqiah 56:80 تنزيل من رب العالمين ٨٠
تَنزِيلٞ
مِّن
رَّبِّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٨٠
Ni uteremsho unao toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hii Qur’ani tukufu imeteremshwa kutoka kwa Mola wa viumbe vyote, kwani hiyo ndiyo haki isiyo na shaka ndani yake.