Al-Waqiah 56:86 فلولا ان كنتم غير مدينين ٨٦
فَلَوۡلَآ
إِن
كُنتُمۡ
غَيۡرَ
مَدِينِينَ
٨٦
Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na je mnaweza, iwapo nyinyi si wenye kuhesabiwa wala kulipwa kwa matendo yenu,