Al-Waqiah 56:88 فاما ان كان من المقربين ٨٨
فَأَمَّآ
إِن
كَانَ
مِنَ
ٱلۡمُقَرَّبِينَ
٨٨
Basi akiwa miongoni mwa walio karibishwa, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi iwapo yule anayekufa ni kati ya watu wa upande wa kulia, atapata rehema kunjufu na furaha,