Al-Waqiah 56:92 واما ان كان من المكذبين الضالين ٩٢
وَأَمَّآ
إِن
كَانَ
مِنَ
ٱلۡمُكَذِّبِينَ
ٱلضَّآلِّينَ
٩٢
Na ama akiwa katika walio kadhibisha wapotovu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na iwapo yule anayekufa ni miongoni mwa wenye kukanusha kufufuliwa, waliopotoka na njia ya uongofu,